Saturday , 15th Mar , 2014

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Avril Nyambura ambaye anatarajiwa kuolewa hivi karibuni baada ya kuvalishwa pete na mchumba wake kutoka Afrika Kusini, ameweka wazi kuwa kitu kikubwa kinachomvutia kutoka kwa mchumba wake,

Avril na Mchumba wake

Avril ameweka wazi kuwa, mshkaji huyu alikuja kufahamu kuwa yeye anafanya muziki na pia ni mwigizaji baada ya kuwa katika mahusiano kwa muda kidogo, tofauti na wanaume wengi ambao wamekuwa wakimfuata ama kuwa na ukaribu naye kwasababu ya umaarufu wake kama msanii.

Mahusiano kati ya Avril na Mchumba wake huyu yamekuwa kivutio kukubwa kwa watu huku wengi wakutaka kujua ni lini watafunga ndoa rasmi, kitu ambacho wawili hawa bado hawajaweka wazi