Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Dawa alizokamatwa nazo Chid Benz

Monday , 18th Jun , 2018

Msanii wa Bongo Fleva Rashidi Abdala maarufu kama Chid Benz anashikiliwa na Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Bhangi zinazodaiwa kufikia gramu tano (5)

Akizungumza na eatv.tv Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, Gilless Muroto amethibitisha kukamatwa kwa Chid Benzi na kusema kwa sasa yupo kituo cha kati ikiwa ni mara ya pili kukamatwa kwa msanii huyo ndani ya mkoa huo.

Aidha, Kamanda Muroto amesema wasanii watumie vyeo vyao kwa kufanya shughuli nzuri zinazowaingizia kipato na ziwe zinazokubalika na jamii na kisheria pia na sio kufanya biashara ambazo sio halali na zipo kinyume na sheria za nchi.

"Kwa mtu yoyote anaefanya biashara haramu kwa kuona yeye ni mtu fulani ajue sheria haichagui aina ya mtu au cheo ila sheria inafanya haki kwa kila mtu kama unakuwa na hatia basi sheria itakuadhibu", amesema Muroto.

Kwa upande mwingine, Kamanda Muroto amewataka wasanii kuwa makini, wasifanyishwe biashara na watu au wao kufanya biashara ambazo ni haramu pia wawe wa kwanza kuelimisha jamii na kupiga vita ya dawa za kulevya  na kupinga biashara zozote ambazo zipo kinyume na sheria.
 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90