msanii wa muziki nchini Tanzania Afande Sele
Afande amegusia pia swala la wasanii wengine kukosea na kujiingiza katika ugomvi na wasanii ambao hata hawaendani kisanaa na hivyo kuwachanganya hata mashabiki na hapa anazungumza.
Msanii mkongwe wa muziki hapa Bongo, Afande Sele amezungumzia swala la ugomvi kati ya wasanii na uhusiano wake katika kumuinua ama kumpoteza msanii ambapo amekiri kuwepo kwa ugomvi wa kutengeneza ambao mara nyingi hauna mwisho mzuri kwa jamii.