Halla naitwa, Man Yenda wa Kigamboni, Hala kwa mkwe wangu mpendwa, Bi Leyla na Mwanangu Rukhaiyah na Mjusi Kafiri, John Bauta, Kaindula, Mnenegwa, Wayc Men, Makapa Jr, Its Me Yenda Rais wa Kigamboni.
Ezekery Sanga
Naitwa Ezekery Sanga au Msafiry Sangamagongo, Ninapenda kuwasalimu wana Mbinga Town wote, kundi la fundi Luka Lakuchumpa, eNewz ndo mpango mzima. Halloooooo....!.
Mackfadelly Mrisho
Hi naitwa Mackfadelly Mrisho, napenda kuangalia EATV nikiwa na baba yangu Mrisho, mama yangu Emmy na baba Mdogo Chibow mtoto Wa pwani.
Raiyyan
Hi! am Raiyyan from Dar, halla 2 my Dad Seleman Mgongola akiwa makambako an my mum Rehema Lyana. Hapana chezea enewwz.