Joan
Naitwa Joan, nampa Hi my Mom, Neema Mwacha, Sauda Mwacha, Jasmine Mwacha, Amina Mwacha, Hija Mwacha, Dalha Mwacha my uncles Shabani Mwacha and Ramadhani Mwacha bila kumsahau my grandma Ma Shabani, Halla.
Mangala Boy
Yoo, kwenye kichupa c ndo mimi sasa, niite Mangala Boy kama kawa tunakimbiza, Halaa 5 kwa Joseph Alute, Soudy Yahaya, Salim Swalehe , Samwel Shemaya, ndan ya eNewz ukileta ubishi utakufa na kiu.
PAUL SALIBOKO wa Kivule, nawasalimu teacher Benedetor na teacher Upendo wa Kingdom Heritage model School, pia marafiki zangu wote wa Winners Chapel Dar, baba na mama Richard Saliboko, Halla 5.
Prince Kody
Hi 5 a'm Prince Kody from Chimala napenda wapa hi mamy wangu Konsolata ma cstar Winner, & my bro Venance Khalid Deogratius bila kuwasahau shem zang woooote.. Hooolaaaaaaaa 5 chezearrrrryy ww.