Call me Athuman yusuph kitwara wa Musoma kitaa cha nyamatare mwana familia wa E_newz,naitizama Enewz kila siku nikiwa na Jamali SELEMBA, Latiph Ibrahim, Shaban msm boy, Frank SANGA, Imma Sadala, Hollaaa fiveeeeeee.
Rose James
Call Rose James ukipenda niite Mama Zainabu, niko na mwanangu Zai napatikana Musoma Nyamatare holla kwa baba Zainabu, kutizama E_newz raha sana Hollaa fivee.
Holla 5
Holla 5
ONEZMO MLELWA (130)
Ni ONEZMO MLELWA (130) Wa njombe nawapa holla five wanafunzi Na walimu wote wa MWIKA HIGH SCHOOL (Moshi), Enewz ni moto wa kuotea mbali hollaaaaaaa.