Zecomedy
Habari ya mjini
Marehemu aacha rekodi ya kipekee, licha ya ndugu zake kumuamini kuwa alikuwa ni mtu msafi katika ndoa yake
Kanjibhai
Shabani auza nyumba ya urithi lakini dalali ambaye ni Kanjibhai achukua cha juu kikubwa kuliko mwenye mali, nyumba yauzwa milioni 60 shabani aambulia milioni 20
Magumashi
Mzee wa Magumashi apewa shavu na Serikali kufanya utafiti wa kutengeneza barabara.
Mazuzu
Mazuzu wamwokoa mwizi na kichapo lakini walivyokuja wabaya wake inajua ilikuwaje....