mtaa kwa mtaa
Mmoja kati ya mabinti wa maeneo ya Mikocheni kisiwani akithibitisha akipendacho kati ya vichwa, miguu, ngozi, utumbo na vinginenyo vya kuku..
mtaa kwa mtaa
Mama mtaalam wa kutengeneza vitu vyote vinavyotoka kwenye kuku, kama vile miguu, utumbo, vichwa, ngozi na migongo, mtazame uyajue mengi ya huku kwetu uswahilini.
Salaam
Waswahili wanasema kutoa ni moyo, hivyo ndivyo ikufikie na wewe, naamini utaguswa na anachokisema bibi huyu, na hayo ni baadhi tu ya maongezi yote.