Mtaa kwa mtaa
Mjumbe wa mtaa wa Hananasifu (bondeni) akizungumzia kuhusu mto ng'ombe ambao unaleta adha kubwa kwa wananchi kwa kutiririsha ya maji machafu.
Uswazi.com
Uswazi ndio kwetu na vipaji vinapatikana, huyu hapa anakuonesha jinsi ya kupita kwenye tundu dogo, na kuonesha jinsi anavyiweza kujikunja kunja.
Salaam
Mswazi huyu hapa, naye anaongelea kuhusu taarifa za mamlaka ya hali ya hewa kuhusu mvua za El-nino mwaka huu hasa kwa wakazi waishio mabondeni.