NJE YA BOX
Wasanii kibao wa Bongo Flava akiwemo Q-Chief na Ben Paul wasisitiza watanzania wadumishe amani na upendo kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.
KITENGO
Bonge L Nyau a.k.a Nyau Losso ambaye kwa sasa anatingisha na ngoma yake ya vise versa amesema hajawahi kuandikiwa nyimbo kama watu wanavyosema japo alisema ana amini kazi nzuri inafanywa kwa ushirikiano wa team.