NJE YA BOX-FID Q
Fid Q amefunguka juu ya wasanii wa bongo kufanya video ambazo zipo chini ya kiwango kisa ni video za Hip Hop hivyo na kuwashauri wasanii kufanya video ambazo zipo juu ya viwango zaidi.
KITENGO -VIDEO DIRECTOR KHALFAN
Ni Director anaye chipukia kwasasa na amekwisha fanya kazi za wasanii kadhaa hapa nchini na sasa amefanya kichupa kipya cha mwanamuziki Ben Pol kinachoitwa Sophia
USIKU MNENE- BILLNASS
Kwenye usiku mnene hapa yupo kijana anayefanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya Bongo Flava anaitwa Billnass, mcheki hapa akiwarusha mashabiki wake ndani ya club Maisha.