KITENGO - NAHREEL
Toka miaka 14 akitengeneza hit's zilizo tamba sana kama za Weusi - Wawiwo, Nje ya box na wimbo unao muamsha kila mtu wa Gele. Ndani ya kitengo pata kumjua producer Nahreel zaidi na kwa nini anatoa nyimbo nyingi sana za hip hop.
KICHUPA - BABY J
Mtoto wa ki-Zanzibari Baby J akiwa na kichupa kipya pale video model wake kamlipia ticket kutoka Malaysia. Nyimbo mpya ya Baby J ; Nimempenda mwenyewe.
MGODI - SIR TINO
Kutana na Sir Tino mgodini, mpaka sasa ametoa nyimbo tatu na video zake. Lakini bado ana ndoto kubwa kama vile kufanya show stage moja na Chris Brown.



