KICHUPA - MENYNAH
Kutoka BSS bado anaendelea kupanda na sasa metoa video yake mpya matata sana. KIchupa hiki kinaitwa- copy and paste.
KITENGO - ALI KIBA
Ndani ya kitengo, Ali Kiba anatupeleka mpaka nyumbani kwao Kariakoo. Mama yake aelezea Ali Kiba alivyo kuwa kama mtototo na Abdu Kiba atuelezea yuko vipi kama kaka.
MGODI - KHADIJA
Kutana na mrembo mpya kwenye game lakini anadai yeye ataki kufanya mziki kwajili ya show tu. Bali ndoto zake ni awe anatoa album na kupele musiki wake ki international zaidi.




