KITENGO - M-RAP
Ndani ya kitengo yuko M-Rap, ni kijana mdogo lakini anakuja kwenye game kwa kasi. Sasa akiwa ametoa nyimbo mpya - Everyday. lakini sio hilo tu pamoja na Frank Gonga wametengeneza filamu kuhusu madawa ya kulevya.
MGODI - CHIKUZEE
Chikuzee ni mkaka anetokea Mombasa lakini anapenda sana kufanya kazi na maproducer wa bongo. Kwasababu style ya Bongo Flava ndio inamvutia zaidi na sasa akiwakilisha ndani ya Mgodi.
KICHUPA - OMMY DIMPOZ
Msanii anae penda kutengeneza video zake South Africa amefanya yake tena, Ommy Dimpoz akiwa na kichupa kipya - Ndagu Shima.