KITENGO - MABESTE
Akiwa sasa anajulika kama baba Kendric, Mabeste anaongelea kuhusu mafanikio yake kikazi, maisha ya kifamilia kama msanii. Na pia muhimu zaidi kuhusu project yake mpya, ambayo ni documentary ametengeneza kuhusu maisha yake.
MGODI - LIL STIGGER
Ni binti anaye tokea Mbeya, yeye ana rap na ndoto zake ni kuwa kama Keko, hapa namuongelea "Lil Stigger".
KICHUPA - HEMEDY PHD
Muigizaji na muimbaji Maarufu Hemedy Phd sasa atoa kichupa kipya- On wedding day!