KITENGO - Lamar
Hit's zake ni kama; Mambo bado ya Lady Jay Dee na Chege pia Eveything ya Alikiba. Pata kumjua zaidi Producer wa mziki wa kizazi kipya Lamar nadni ya kitengo.
Usiku Mnene - Abby Skills
Burudani kali sana pale ndani ya Bill canas akiwepo stagini Abby Skills akishirikishwa na Sheta pamoja na Chege.
MGODI - Bunduki
Ndadni ya mgodi kijana ane chana na mpya kwenye game, alikiwa ndani ya crew lakini sasa anjisukuma yeye mwenyewe zaidi usimkose Bunduki.


