Bushoke
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Bushoke akitoa burudani ndani ya FNL kuwakumbushia mashabiki wake zile ngoma za zamani.
Mirror
Mwimbaji MIrror akanusha kuwa na 'beef' baina yake na mwsanii mwenzake Nuh Mziwanda. Aliyaongea hayo ndani ya kipindi cha Friday Night Live.
Prezzo
Prezzo akanusha kumtaka Shilole, Napia kumsifia msichana sio kuwa anataka kuwa naye bali ni kumsifia tu uzuri alio nao.
Prezzo
Mwanamuziki Prezzo akanusha kumsumbua mtangazaji wa Kenya wakati wa mahojiano studi, Na alishangaa kusikia kuwa mama yake mzazi alimsaidia kumuombea msamaha.