Chibwa
Msanii wa dans hall, Chibwa akanusha kuwa na bifu na Mensen Selekta, Anasema bado kazi zake nyingi zipo kwa producer huyo.
Asia Mjuni
Msanii Asia Mjuni akionyesha uwezo wake wa kucheza kwenye show ya FNL wakati akiitambulisha video yake ya 'Nimetulia Naye' akiwa pamoja na dansa wa kwenye video hiyo.
Msami Baby
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Msami Baby alivyo tambulisha video yake mpya ya 'Yala Yala' akiwa pamoja na dansa walio onekana kwenye show hiyo.
