Vigezo vya kushiki Dance 100% (2014) hivi hapa.
Kama ungependa kushiriki Dance 100% (2014) bado hujachelewa. Na vigezo vya kushiri mashindano haya makubwa ya kudance ni hivi hapa.
Majaji
Majaji wa Dance 100% (2014) hawa hapa.
Watangazaji wa Dance 100% (2014)
Watangazaji watakahusika kukuweka sawa mwanzo hadi mwisho wa mashindano haya ni Tbway 360 na mwanadada Menina.



