Ripoti
Yanga yaandaa daftari maalum kwa ajili ya wanachama wanaopinga maamuzi ya mkutano mkuu kuungezea muda uongozi uliopo madarakani. Uandikishaji umeanza Jumatatu ya tarehe 23 mwezi huu!
Vumbua
Rais wa TFF, Jamal Malinzi, amesema shirikisho hilo litatoa mipira 10 na jozi za viatu kwa kila shule za msingi hapa nchini kuanzia mwakani. malinzi aliyasema hayo wakati wa kufunga kozi ya leseni B ya CAF kwa makocha wa hapa nchini.
Vumbua
Uchaguzi mkuu wa Simba waendelea kugawanya mitazamo ya wanachama. Wapo wanaopinga Wambura kuenguliwa na wengine wanasema hakuonewa.