Ripoti
Golikipa wa zamani wa Lipuli ya Iringa, TZ Prisons ya Mbeya, Polisi Morogoro, Simba na Ashanti United za DSM, Aman Simba aliyeko Abajalo kwa sasa; adai ligi daraja la pili ni ngumu kuliko ligi kuu
Vumbua
Mtanzania Amaar Ghadiyali aliyeiwakilisha Tanzania Olimpiki 2012, asema kwa sasa anajifua nchini Canada
Vumbua
Rais wa TFF bwana Jamal Malinzi agusia kubadilisha benchi la ufundi la Taifa Stars