Zengwe
Wachezaji wa timu ya UMITASHUMTA ya Ilala wacheza peku dhidi ya Kindononi
Ripoti
Rais wa TFF na kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba waingia kwenye malumbano makubwa juu ya uchaguzi wa klabu hiyo.
Vumbua
Bondia chipukizi wa Tanzania, Ibra Class atwaa ubingwa wa dunia wa WPBW baada ya kumpiga Mwansa Kapinga wa Zambia kwa TKO ya raundi ya tisa. Pambano hilo lilifanyika nchini Zambia.