Ripoti
Timu ya Taifa ya Tanzania kwa vijana walio chini ya miaka 20, wamefuzu kwa hatua ya mwisho ya mtoano kuelekea mashindano ya Afrika mwakani. Wamewatoa Kenya kwa penati 4-3, watacheza na Nigeria baadaye mwezi ujao.
Vumbua
Kocha wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo maarufu kama Julio, amesema yeye na wenzake waliokuwa karibu na utawala wa Rais aliyepita wa TFF bwana Leodgar Chilla Tenga, wanaandamwa na utawala wa Rais wa sasa bwana Jamal Malinzi.
Zengwe
Makomandoo wa Jeshi la Wananchi waonesha ukakamavu wa hali ya juu.