Ripoti
Yanga yaipumulia Azam. Yaichapa JKT Ruvu 5-1 na kuwatia presha wana lamba lamba ambao wanaufukuzia ubingwa kwa udi na uvumba.
Vumbua
Mama yake Hasheem Thabeet ajitolea kununua magoli ya uwanja wa mpira wa kikapu wa shule ya Lord Badden Powell.
Zengwe
Shabiki wa ngumi aliyepandwa na mzuka kwenye pambano la Allan Kamote wa Tanga na Rajabu Suji wa Keko DSM.