Tanzania yapewa bilioni 248 na Benki ya Dunia
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia (WB) wamesaini mikataba miwili yenye thamani ya dola za Marekani milioni 104, sawa na takriban shilingi bilioni 248, kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa mradi wa kukuza usawa wa kijinsia nchini Tanzania, maarufu kama "PAMOJA"