Niffer na Mika waachiwa huru kesi ya uhaini

Mfanyabiashara Jennifer Jovin (26) maarufu kama Niffer na Mika Chavala, ambao walikuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameachiwa huru leo Desemba 3, 2025.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS