Odinga kura hazijatosha AUC Waziri wa mambo ya Nje wa Djibouti Mohammed Ali Youssouf anasubiria kutangazwa rasmi kama mrithi wa Moussa Faki Mahamat baada ya kuibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro kikali dhidi ya wagombea wa Kenya na Madagascar. Read more about Odinga kura hazijatosha AUC