Adela ahukumiwa miaka 5 jela kwa kutupa kichanga
Majirani waliona kichanga jalalani na baada ya kufuatilia Adela aligundulika ndio aliyefanya hivyo na alipohojiwa alikiri kwamba alizaa mtoto wa kike na kisha alimuacha jalalani ili asigundulike kama amezaa na aweze kwenda kufanya kazi.