Jumanne , 21st Oct , 2025

Mwanamuziki kutoka Kenya Bahati anasema kwenye kiwanda cha muziki wao anajifananisha na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kwenye siasa ambaye amezikwa siku ya Jumapili. 

Picha ya msanii Bahati na Hayati Raila Odinga

"Kiwanda/Sekta ya muziki inaboa bila uwepo wa Bahati. Mimi ndio Raila wa Hii Music Industry, ningekuwa siko kungenyamaza sana" - ameandika Bahati kupitia Insta Story yake.

Vipi mtazamo wako anafaa kuwa 'Raila Odinga' wa muziki Kenya?