Kilo 33,077 za dawa za kulevya zakamatwa na DCEA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema katika kipindi cha Mwezi Julai na Septemba 7/ 2025 Mamlaka hiyo imefanikiwa kukamata kilogramu 33,077.613 za dawa za kulevya aina mbalimbali, kilogramu 4,553 za mbegu za bangi pamoja na kuteketeza mashamba ya bangi ekari 64