Ales na Kolesnikova waachiwa huru nchini Belarus Bialiatski, ambaye ni mpokeaji mwenza wa Tuzo ya Sakharov ni mmoja wa watu mashuhuri walioshiriki katika harakati za maandamano ya mwaka 2020 dhidi ya Rais wa taifa hilo, Alexander Lukashenko. Read more about Ales na Kolesnikova waachiwa huru nchini Belarus