Papa mpya kupatika Mei 7?
Kufuatia kifo cha Papa Francis na mazishi yake kufanyika Jumamosi, makadinali kote ulimwenguni karibuni watakusanyika Vatican kumchagua mrithi wake katika mchakato wa siri wa karne nyingi unaojulikana kama kongamano unaotajwa kuanza Mwezi ujao Mei 7.