Warioba amesema serikali tatu ndiyo suluhu
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amesema kitendo cha kubaki na serikali mbili huku katiba moja ikisema hii ni nchi moja na Katiba nyingine inasema hizi ni nchi mbili kunaweza kuleta mgogoro utakaosababisha kuutikisa muungano.