Hillary Daudi
Born : April 14.
Ni mpenda mazoezi, na hana makuu. Zembwela ndilo jina lake maarufu sana! Mziki wake ni mchiriku na zilipendwa. Ni baba wa watoto wawili; Hope na Hellen, na anawapenda sana! NI mchekeshaji mzuri sana na kuchekesha ndio fani yake kubwa, utangazaji umeibukia huko.
Nini kingine ungependa kufahamu kuhusu Zembwela?