Sele Kutambulisha Mshenga Moro

Mkongwe wa sanaa ya muziki wa kizazi kipya Bongo, Afande Sele naye amekuwa moja kati ya wasanii ambao wameamua kufanya kitu kwa ajili ya kuadhimisha siku ya wapendanao ambayo siku ya leo pia huko Morogoro anaachia ngoma mpya aliyoipatia jina 'Mshenga'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS