Buff G zinga la kichupa Rapa mkali katika game nchini Buff G-zinga kutoka East Coast Team aliyetokea katika kundi la CBM Crew aachia kichupa chake kipya kilichobatizwa jina "Bizz Show" ambacho kimetambulishwa leo kupitia EATV. Read more about Buff G zinga la kichupa