KITENGO - D-KNOB
Hit yake ya elimu mtaani.com ndiyo iliyomtoa na sasa akiwa ametoa mzigo laidi zaidi - Nishike mkono akiwa na Mwasiti. Pata kumjua D-Knob zaidi ikiwa maisha yake shule na mziki ndani ya Kitengo.
MGODI - D'Souza
Kijana ambaye ameshatoa video tatu sasa; Ukweli mtu, True love na sasa True love. D'souza ndani ya mgodi pale anatuelezea collabo ambazo amekwishafanya na kwanini amekomaa kwenye hip hop.
Usiku Mnene - Ay na Mwana Fa
Wakiwa na hits nyingi za kupagawisha, show yao sio ya kukosa. Ndani ya usiku mnene muone Ay na Mwana Fa wakiwa stagini pale Club Billcanas.