Nini Alamba dili Nigeria Nyota imezidi kung'aa kwa muigizaji nyota wa nchini Kenya Nini Wacera ambaye hivi sasa amekula mkataba mnono wa kuigiza Nollywood nchini Nigeria. Read more about Nini Alamba dili Nigeria