Wyre, Chameleone wawania tuzo kubwa
Msanii wa Kenya, Wyre The Love Child, pamoja na Chameleone wa Uganda ni miongoni mwa wasanii wakali Afrika, walioingia katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya msanii bora wa kiume katika tuzo za muziki za dunia.