Kala, Muziki umenitoa kwenye Kikapu
Rapa Kala Jeremiah ameweka wazi kuwa, kabla hajaamua kuweka nguvu zake zote katika muziki, alikuwa na uwezo mkubwa ya kucheza mchezo wa mpira wa kikapu, ambapo aliweza kujijengea jina kupitia mchezo huo huko Mwanza.