Dimpoz kutambulisha PKP

Msanii Ommy Dimpoz, katika harakati za kuongeza zaidi wigo wa kipato chake nje ya muziki, ameweka wazi kuwa, kupitia lebo yake aliyoianzisha ya PKP, mbali na kutengeneza aina mbalimbali za mavazi chini yake, anatarajia pia kuanza kusimamia wasanii chipikizi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS