'Skelewu' kuzinduliwa UK Supastaa anayetikisa chati za muziki Afrika na sehemu mbali mbali duniani, Davido kutoka nchini Nigeria, ametangaza mpango wake mkubwa kabisa wa kuzindua albam yake ya Skelewu mwezi huu huko UK. Read more about 'Skelewu' kuzinduliwa UK