Lilian athibitisha ujauzito
Msanii Lilian Mbabazi baada ya stori za yeye kuwa na ujauzito wa pili kuanza kusambaa kwa kasi hivi karibuni, hatimaye amejitokeza mwenyewe hadharani na kuonekana dhahiri kuwa ni kweli ana ujauzito na anatarajia kujifungua hivi karibuni.