T-Touch auguza majeraha Mwisho wa wiki hii umekuwa si shwari kwa Mtayarishaji wa Muziki kutoka Seductive Records, Mr T Touch ambaye ndiye mpishi wa ngoma kali kama vile Kimugina ya Linex na Nakula Ujana ya Ney kati ya nyinginezo. Read more about T-Touch auguza majeraha