Submitted by thabit on Jumatatu , 28th Apr , 2014Kutana na watoto kutoka Tanzania walioenda nchini Canada kupata mafunzo ya mpira wa kikapu, warejea na kuelezea faida walizopata kwenye ziara yao.