Octopizzo alifikiria kuwa mpishi Rapa wa muziki wa nchini Kenya, Octopizzo ameweka wazi kuwa katika historia yake kipindi cha nyuma kabla ya kuwahi kuwa na ndoto za kuwa msanii wa muziki, aliwahi kufikiria kuja kufanya kazi ya upishi. Read more about Octopizzo alifikiria kuwa mpishi