Paul Okoye ajiandaa kwa harusi Maandalizi ya Harusi ya Paul Okoye wa kundi la P Square pamoja na mpenzi wake Anita Isama, ambayo itafanyika tarehe 22 mwezi huu huko Port Harcourt Nigeria, yameanza kushika kasi. Read more about Paul Okoye ajiandaa kwa harusi