M Rap aeleza kuhusu 'Usiende Mbali'
Rapa M Rap, baada ya kutoka kwa misukosuko chini ya lebo ya B Hitz hivi karibuni, ametangaza ujio wake mpya kutoka AM Records, kwa kuja na traki yake mpya inayokwenda kwa jina “Usiende Mbali” ambayo ndani yake amemshirikisha na msanii Jux Vuitton.