Win Nokia Asha with double play

Wakati ni wako wa kushinda simu zenye uwezo wa kubeba line mbili Nokia Asha 500 na Nokia Asha 503 bure kabisa.

Pia waweza kushinda zawadi nyingine mbali mbali za kampuni ya Nokia kama vile, Key ring, notebook,T shirts na Headphone za Nokia.

Jinsi ya kushinda sikiliza East Africa Radio, kipindi cha Power Jams kila siku ya wiki ,Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 7 mchana.

Good Luck & keep it locked to East Africa Radio for your chance to win!!

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS