Jaji Warioba awasilisha rasimu ya katiba

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Tanzania Jaji Joseph Warioba amewasilisha rasimu ya Katiba mbele ya bunge maalum la Katiba, huku wajumbe hao wakivutiwa zaidi na uwasilishaji wake hususan katika masuala ya Muungano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS